Skip to main content

Utengenezaji wa Chakula cha Kuku Kibiashara: Mwongozo wa Hatua za Vitendo

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Mwongozo wa Hatua za Vitendo: Utengenezaji wa Chakula cha Kuku Kibiashara

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Utengenezaji wa Chakula cha Kuku Kibiashara. Jifunze vipengele vya utekelezaji na maswali ya kupanga kazi vinavyoibuliwa na mwongozo huu. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Utengenezaji wa Chakula cha Kuku Kibiashara · PDF · 54 kurasa

Utengenezaji wa Chakula cha Kuku Kibiashara – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Namna ya kutumia taarifa za kitabu katika kazi

KULEA VIFARANGA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kabla ya kuwaleta vifaranga nyumbani kwako hakikisha unafanya maandalizi yafuatayo;  Hakikisha umeandaa sehemu maalumu ya kuwalea vifaranga (Brooder)  Hakikisha una taa za kandili au balbu zinazotumia umeme au jiko la mkaa kwa ajili ya kuwapatia joto vifaranga.  Hakikisha umeandaa matandazo ya kuweka kwenye sakafu kama maranda ya mbao,mapumba ya mpunga n.k. kwa ajili ya kuwapa joto  Eneo la mita mraba 1 (1m2) hutosha vifaranga 20 hadi kufikia umri wa wiki 4  Dhibiti joto bandani au sehemu maalum ya kuwalea vifaranga (Brooder) hadi kufikia…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

UMRI WA WIKI 41-80 LAYERS MASH 2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Gram 130 kwa kuku mmoja kwa siku NB: jinsi ya kubadili gramu kuwa kilo ni kama ifuatavyo Kilo 1 = gramu 1000 Mfano – una vifaranga 100 na unatakiwa kuwapa chakula cha wiki ya kwanza tangu kuzaliwa kifaranga 1 = gram 12 (siku) vifaranga 100 = ? vifaranga 100 kuzisha gramu 12

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA KUKU WA KIENYEJI WA MIEZI

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

5 MPAKA WA 6. (Hadi kuuzwa) Mahindi yaliyobarazwa au mtama au uwele 31 kg Pumba za mtama au mahindi au uwele 38 kg Mashudu ya alizeti au ufuta, au pamba au karanga 18 kg Unga wa mifupa au chokaa ya kuku (DCP) 2.25 Dagaa au mabaki ya samaki (fish meal) 13 kg Chumvi ya jikoni 0.5kg Virutubisho (Broiler premix) 0.25 JUMLA = 100 kgs Nb mchanganyiko huu ni kwa ajili ya kuku wa biashara hu mfanya kuku awe na mafuta. Ila kama kuku wako unataka badae waje watage katika mchanganyiko huo utawapa mwisho kwenye mwezi wa Tatu. Kuanzia mwezi wa nne utawapa…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

VYAKULA VYA ZIADA VYA KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

MENDE: Ufugaji wa mende ni ufugaji unaokua kwa kasi sana hapa nchini, hii ni kutokana na faida zinazoaminika kupatikana kwa mende.Hivyo kwa namna hii kasi ya ufugaji inaongezeka, kunauwezekano mkubwa sana kwa wafugaji wengi kuingia katika ufugaji huo ha hivyo kuongezeka kwa ushindani.Ufugaji wa mende hauna masharti mengi sana na pia hua na gharama ndogo katika kufuga licha ya kuaminika kua na faida. Kuna Aina zaidi ya 400 za mende duniani na katika hizo aina 30 pekee ndio zinapatikana katika makazi ya watu, lakini katika hizo aina 4 ndio…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

MAPINDUZI YA UCHUMI NA UFUGAJI WA KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

kuku, binadamu na hata kutengeneza dawa za urembo ni mende wa Asia ambao wamechanganywa katika aina 3 ili kuweza kupata aina moja bora zaidi (breeding) na aina hizi ni mende wa Asia, Ujerumani na Marekani na kwa kitaalamu mende huyu huitwa diloptera punctuate UTAGAJI Kwa kawaida Mende huchukua muda wa miezi miwili na nusu kufikia wakati wa kuvunwa endapo atapatiwa chakula, maji kwa wakati huchukua hadi miezi minne na hua na uwezo wa kuishi hadi miaka minne kuanzia kuzaliwa hadi kufa. Mende hawa wa kisasa ndio mende wanaotaga mayai mengi zaidi…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

JINSI YA KUTENGENEZA BANDA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Banda la kufugia mende linaweza kujengwa kwa mtindo tofati tofauti, hii ni kulingana na eneo mtaji na idadi unayotaka kufuga. Hii ni kutokana na sababu kwamba endapo utataka kufuga mende kwaajiri ya chakula kwa binadamu nilazima uweke mazingira mazuri na rafiki zaidi kuliko mtu anaetaka kufuga kwaajiri ya chakula cha mifugo na endapo mtu anataka kufuga kwa wingi zaidi basi nilazima mabanda nayo yawe mengi na makubwa. Andaa eneo maalumu kwaajili ya kufugia. Kama nataka kujenga banda kubwa kwaajili yauzarishaji mkubwa unaweza kujenga chmba…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

MAPINDUZI YA UCHUMI NA UFUGAJI WA KUKU – sehemu ya 2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

kwa namna ambayo haiwezi kuruhusu mende kutoka nje au mwanga kuingia ndani ya sanduku. Zingatia kutengeneza sanduku ambazo zina ukubwa wa kuruhusu trey za mayai kuingia ndani kwaani ni muhimu kuweka trey za mayai zile za karatasi ndani ya sanduku. Kwaan ndio sehemu ambayo mende watatumia kutaga na kujificha.

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

MATUMIZI/FAIDA ZA MENDE

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Faida ya kwanza mende hutumiwa kama chakula na hata hapa Tanzania kuna watu wanakula mende licha ya soko kubwa kwaajili ya chakula huaminika kua nchini Denmark, brazil na china Mende pia ni chakula kizuri sana kwakuku na imedhibitishwa kua na kiasi kingi cha protein ukilinganisha na vyakula au wadudu wengine hivyo wafugaji hupendelea kutumia mende kwenye mchanganyo wa chakula kuliko dagaa. Lakini pia kwa upande wa taaluma, practical nyingi kwa watu walio pata bahati ya kusoma masomo ya biologia, hutumia mende hivyo unaweza kupata fursa katika…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

HYDROPONIC FODERAS

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kwa kufata hatua hizi unaweza kuzalisha malisho yako mwenyewe nyumbani. Chagua mbegu ambazo hazijaanza kuchipua, na hazina kemikali ama dawa ya aina yoyote. Loweka mbegu katika mchanganyiko wa maji na Chlorine kwa masaa mawili kuepusha kuvu/uvundo ama vimelea vya magonjwa kumea na kukua. Zitoe mbegu kwenye maji, zioshe kasha ziloweke kwenye maji safi kwa masaa 24 kuwezesha mbegu kufyonza maji vema. Katika kupanda mbegu, pima kilo mbili za mbegu kwa kila trei yenye urefu wa Cm 80 kwa upana wa Cm 40. Sambaza mbegu kwenye trei kwa usawa…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document