Skip to main content

Ufugaji wa Kuku wa Mayai: Misingi na Dhana Muhimu

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Misingi na Dhana Muhimu: Ufugaji wa Kuku wa Mayai

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Ufugaji wa Kuku wa Mayai. Fahamu dhana na maneno muhimu yanayoelezwa ndani ya kitabu hiki cha ufugaji wa kuku. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Ufugaji wa Kuku wa Mayai · PDF · 38 kurasa

Ufugaji wa Kuku wa Mayai – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Dhana muhimu na maelezo yake kwenye chanzo

AINA ZA KUKU WA MAYAI LAYER BREEDS

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kuku wa mayai wamegawanyika katika makundi makubwa mawili kulingana na rangi ya mayai. Ufuatao ni mchanganuo wa makundi haya mawili;

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

1 Kuku wanaotaga mayai meupe White Egg laying Hens

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Hawa ni aina ya kuku wa mayai wenye maumbile madogo, na wanakula chakula kidogo pia wataga mayai madogo na yenye gamba jeupe. Zifuatazo ni aina mbalimbali za kuku hawa ambao hufugwa sana na watu wengi; Isa White Lehman White / Lohmann White Nikchik Bab Cock BV-300 Havard White Hi Sex White Sever White Hi line / Hyline White Bovanch White

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

2 Kuku wanaotaga mayai ya Kahawia Brown Egg Laying Hens

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Hawa ni kuku wa mayai wenye maumbile makubwa, na wanakula chakula kingi zaidi ukiringanisha na kuku wanaotaga mayai meupe. Wanataga mayai makubwa kuzidi kuku wengine wa mayai, Pia mayai yao yanakua na gamba lenye rangi ya kahawia (Brown) Zifuatazo ni aina mbalimbali za kuku hawa ambao " hufugwa sana na watu wengi; Isa Brown Hi Sex Brown Sever 579 Lehman Brown / Lohmann Brown Hi Line Brown Bab Cock BV-380 Gold Line / Bovans Goldline Bablona Tetro Bablona Harko Havard Brown n.k.

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

KUCHAGUA AINA YA KUKU WA MAYAI LAYER HEN SELECTION

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kabla ya kuchagua aina ya kuku unaotaka kufuga, hakikisha unakua na taarifa muhimu kuhusiana na tabia za hao kuku ikiwemo kiwango kikubwa cha kutaga mayai. Zifuatazo ni tabia za kuku wanaofaa katika uzalishaji wa mayai; Kwa ufugaji wa kuku wa mayai kibiashara, hakikisha unachagua aina kuku wanaotaga kiwango kikubwa cha mayai. Nunua vifaranga wenye afya njema, wanaotoka kwenye wazalishaji wenye uwezo na wanaozingatia taratibu zote za Uangulishaji bora.

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

CHANJO NA UMUHIMU WAKE

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Utaratibu wa Chanjo kwa vifaranga ni Lazima, ili kuwafanya vifaranga wasikumbwe na magonjwa ya aina zote. Faida kubwa za chanjo kwa Kuku ni kama ifuatavyo; Kuchanja kuku kwa wakati husaidia mwili wa kuku kuwa na uwezo mkubwa wa kuzuia magonjwa. Kama ugonjwa umeingia, Idadi ya kuku watakaoathirika huwa ndogo sana Kuku watakao kufa kwa ajili ya ugonjwa huwa ni ndogo. Kuna Chanjo za aina nyingi zinazotumiwa na kuku wa mayai kama Marex, Ranikheth, Gumboro, Bruchaities, Bosonto, Salmonela n.k.

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

MAGONJWA MBALIMBALI YA KUKU WA MAYAI NA NAMNA YA KUWADHIBITI

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Yafuatayo ni baadhi ya magonjwa ya kuku wa mayai na kuku aina nyingine kama kuku wa nyama na wengineo;

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

Afya ya kuku na dalili za magonjwa

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Huu ni ugonjwa wa fangasi, husababishwa na fangasi aina ya yeast (Candida albicans). Huenezwa pale kuku wanapokula vyakula vilivyoota ukungu, pia husambazwa zaidi pale wanapokunywa maji yaliyochafuliwa na fangasi. Dalili za Ugonjwa Kuku wanazubaa na wanatulia sehemu moja pia wanakua na utando au vitu vigumugumu (Crusty) sehemu ya hajakubwa. Manyoya ya kuku yanakua rafu. Utaona majimaji mazito meupe ndani ya kifuko cha chakula cha kuku (Crop), Kifuko cha chakula cha kuku, kwa wale waliofuga kuku au kwa wale waliowahi kuchinja kuku, kifuko hicho…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

2 AIR SAC DISEASE

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ugonjwa huu huathiri mfumo wa upumuaji wa kuku, husababishwa na kimelea kinachoitwa Mycoplasma gallisepticum. Dalili za Ugonjwa Kuku wanakua dhaifu na wanapunguza kutaga Siku zinavyozidi kwenda, kuku wanakohoa, wanapiga chafya, wanapumua kwa shida, wanavimba sehemu za maungio ya ya miguu au mabawa (swollen joints) na baadae wanakufa. Namna Unavyoenezwa Unaambukizwa baina ya kuku kupitia hewa au majimaji aliyotoa kuku kama kamasi n.k. Pia huambukizwa kutoka kwa ndege wa porini. Pia huambukizwa kutoka kwa Mama kuku kwenda kwa Kifaranga kupitia…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

KUKATA MIDOMO YA KUKU NA UMUHIMU WAKE

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kukata au kupunguza midomo ya kuku wa mayai ni muhimu sana. Zifuatazo ni faida muhimu za kuwakata kuku midomo; Ukataji wa midomo husaidia kupunguza hali ya kuku kudonoana. Husaidia kuzuia upotevu wa chakula. Vilevile husaidia kupunguza tabia ya kudonoa mayai. Namna ya kuwakata kuku midomo Wakate vifaranga wako midomo wakifikia umri wa siku 8 hadi 10. Wakate tena midomo wakishakua wakifikia umri wa wiki 8 hadi 12. Kwa vifaranga wakate sm 0.2 kutoka kwenye pua. Kwa kuku wanaokua wakate sm 0.45 kutoka kwenye pua. Wakate midomo yote wa juu na wa…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document