Skip to main content

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji – Mwongozo Rahisi Wenye Mafanikio – Hamis Y. Rashidi: Misingi na Dhana Muhimu

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Misingi na Dhana Muhimu: Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji – Mwongozo Rahisi Wenye Mafanikio – Hamis Y. Rashidi

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji – Mwongozo Rahisi Wenye Mafanikio – Hamis Y. Rashidi. Fahamu dhana na maneno muhimu yanayoelezwa ndani ya kitabu hiki cha ufugaji wa kuku. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji – Mwongozo Rahisi Wenye Mafanikio – Hamis Y. Rashidi · PDF · 44 kurasa

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji - Mwongozo Rahisi Wenye Mafanikio - Hamis Y. Rashidi – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Dhana muhimu na maelezo yake kwenye chanzo

Malezi ya vifaranga na ukuaji

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Hamis Y. Rashidi Yaliyomo Shukrani Utangulizi 1: Kuku wa Kienyeji 2: Mifumo ya ufugaji wa kuku 2.1: Mfumo wa huria 2.2: Nusu Ndani Nusu Nje 2.3: Ndani tu 3: Ujenzi wa Banda la Kuku 3.1: Sifa za banda la kuku 3.2: Banda la Vifaranga 4: Vifaa Muhimu 5: Chakula cha Kuku wa Kienyeji 5.1: Ulishaji wa kuku wa kienyeji 5.2: Uchanganyaji wa Chakula 6: Anza Ufugaji Kuku wa Kienyeji 6.1: Ukusanyaji wa Tetea na Jogoo 6.2: Utaratibu wa Kuwapa Chanjo 7: Utotoleshaji wa Vifaranga Njia Rahisi ya Kupata Vifaranga Wengi 8: Uleaji wa Vifaranga wa Kienyeji 8.1…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

2 Hakuna gharama kubwa ya uendeshaji wa mradi wako kwa sababu hata

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

mtanzania mwenye kipato cha chini anaweza akafuga na wakaishi kwa kula mabaki ya chakula cha nyumbani na shambani.

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

4 Wanauzito mdogo

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ili upate faida nzuri ya mradi wako wa kuku wa kienyeji unashauriwa kuwapa chakula cha ziada ili waweze kukua kwa haraka na kuwa na uzito mzuri utakao washawishi wateja kutoa pesa nyingi. Kuku hawa hawana gharama hivyo nashauri kama una eneo zuri ni muhimu ukaanza ufugaji wa kuku hawa kwa sababu hawana shida katika ufugaji wake. Kuku hawa wanapendwa sana hapa nchini kwa sababu ya nyama na mayai yake kuwa mazuri sana na ni kuku wa asili hivyo tunaamini hawana kemikali na hii ni kweli kabisa kwa sababu wafugaji wengi hutumia mfumo wa huria…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

4 Wanauzito mdogo 2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kijamii ▪︎ Kinyesi cha kuku wa Kienyeji ni chanzo kizuri cha mbolea ambayo haina uharibifu wa mazingira. ▪︎Kuku wa kienyeji husaidia kufukuza wadudu wa hatari kama nyoka, tandu na nge. 2: Mifumo ya Ufugaji wa Kuku Hizi ni mbinu mbalimbali ambazo hutumika katika ufugaji wa kuku na zimepewa majina kulingana na jinsi ambavyo kuku wanaishi bandani. Majina hayo ni kama huria (free range), nusu ndani nusu nje (semi intensive) na ndani tu (intensive) 2.1: Huria Huu ni mfumo wa ufugaji ambao kuku huachiwa huru wakati wa mchana ili wazunguke…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

1 Hupunguza gharama za chakula kwani kuku hujitafutia chakula kwenye mazingira

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

na mfugaji huwapa chakula cha ziada. 2. Kuku wanataga mayai yenye kiini cha njano. 3. Hakuna gharama kubwa za ujenzi wa banda. Hasara Zake 1. Ni rahisi kushambuliwa na magonjwa ya miripuko.

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

4 Vifo na upotevu mkubwa wa vifaranga

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

2.2: Nusu Ndani Nusu Nje Huu ni mfumo wa ufugaji ambao kuku wanafungiwa kwenye uzio wakati wa mchana na hufungiwa bandani wakati wa usiku. Katika mfumo huu wa ufugaji wa kuku mfugaji anapaswa kuwahudumia kwa chakula na maji Faida Zake

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

3 Uchafuzi wa mazingira

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

2.3: Ufugaji wa Ndani Huu ni mfumo wa ufugaji ambao kuku hufungiwa bandani wakati wote na watahudumiwa chakula na maji kwa muda wote wa maisha yao. Mfumo huu unahitaji mtaji mkubwa kidogo kwenye ujenzi wa banda. Faida Zake

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

5 CRD – Chronic Respiratory Disease ugonjwa sugu wa mfumo wa hewa 8

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Jinsi Ugonjwa Unavyoenea ▪︎Chanzo cha maambukizi ni maji na chakula kilichochafuliwa na kinyesi cha kuku wagonjwa, panya, ndege na wanyama wengine wanaweza kueneza ugonjwa kwa kubeba mizoga ya kuku iliyokufa kwa ugonjwa na kuchafua maji na vyakula. ▪︎Kuku waliopona baada ya matibabu wanaweza kuendelea kuchafua mazingira na kuwa chanzo cha maambukizi, hivyo waondolewe shambani. ▪︎Maambukizi pia yanaweza kupitia katika mayai yanayototolewa na vifaranga kuathirika. Tahadhari:

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

2 Gumboro 2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Uchunguzi wa Mzoga Ugonjwa huathiri zaidi mfumo wa hewa na njia ya chakula, hivyo mabadiliko yanayoonekana kwenye mzoga ni pamoja na: Madoa ya damu kwenye mfumo wa hewa Kamasi nzito zenye rangi ya njano kwenye koromeo Utandu mweupe kwenye mifuko ya hewa Bandama kuvimba Uvimbe kwenye kichwa na eneo la shingo Madoa madogo madogo ya damu kwenye kifua, mafuta na utandu wa tumboni Damu kuvia kwenye mfumo wa usagaji chakula – juju, firigisi, tumbo na utumbo. Tiba ▪︎HAKUNA TIBA ya ugonjwa huu ila kuku wapewe antibiotiki ( otc + vitamin kwa wingi)…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document