Misingi na Dhana Muhimu: Ufugaji Bora wa Kuku – Toleo la Tatu – 1997 – Wizara ya Kilimo na Ushirika
Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Ufugaji Bora wa Kuku – Toleo la Tatu – 1997 – Wizara ya Kilimo na Ushirika. Fahamu dhana na maneno muhimu yanayoelezwa ndani ya kitabu hiki cha ufugaji wa kuku. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.
Dhana muhimu na maelezo yake kwenye chanzo
sehemu iliyobaki izibwe kwa kutumia wavu ili kuingiza hewa na kuzuia wanyama 3
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Chombo cha bati cha kuwekea chakula Chombo cha mbao cha kuwekea chakula Viota Kuna aina mbili za viota ambavyo vinatumika kwa ajili ya kutagia mayai, aina ya kwanza ni kiota cha kuku mmoja mmoja. Kila kiota kinaweza kutumiwa na kuku watano kwa zamu. Vipimo vya kila kiota viwe na sentimita 30 upana, sentimita 30 urefu na sentimita 35 kina. Upande wa mbele uachwe wazi lakini sentimita kumi za kwanza kutoka chini zizibwe kwa mbao. Kiota cha kuku mmoja. Aina ya pili ya kiota ni ya kiota chajumla. Kiota hiki kinaweza kutumiwa na kuku watano hadi…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
1 Ufugaji Huria
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kuku huachwa wenyewe wajitafutie chakula na maji. Ufugaji huu hutumika zaidi kwa kuku wa kienyeji na hakuna utaratibu wowote wa kuwapatia chakula cha ziada. Faida Haina gharama kubwa Kuku wanapata mazoezi ya kutosha. Hasara Huharibu mazingira, hula mazao hasa nafaka, n.k. Ni rahisi kuku kuathiriwa na wezi, wanyama wakali au hali mbaya ya hewa. Ni rahisi kuambukizwa na kusambaza magonjwa. Wanaweza kutaga mayai vichakani. Ukuaji wake ni hafifu. Kuna uwezekano wa kuhamia nyumba nyingine.
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
2 Ufugaji Ndani ya Uzio
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Huu ni ufugaji unaofanyika katika sehemu iliyozungushiwa uzio. Kuku hujitafutia chakula chao wenyewe na kuna utaratibu wa kupatiwa maji na chakula cha ziada. Ndani ya uzio kuna banda ambalo kuku anaweza kulala, kuingia na kutoka wakati wa mchana Ufugaji huu unatumika zaidi kwa kuku chotara na kuku wa kigeni Faida Gharama yake ni nafuu Ni rahisi kuelewa kiwango cha utagaji na utotoaji wao Si rahisi kwa kuku kuathirika na wezi, wanyama wakali au hali mbaya ya hewa Si rahisi kuambukizwa magonjwa mbali mbali Ufugaji wa ndani ya uzio. Hasara…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
3 Ufugaji Ndani ya Banda
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kuku hufugwa ndani ya banda wakati wote na hupatiwa maji na chakula. Njia hii hutumika zaidi kwa ufugaji wa kibiashara. Katika njia hii kuna aina mbili za ufugaji, nazo ni; Ufugaji wa sakafuni, ambapo kuku huwekwa katika chumba chenye sakafu iliyotandazwa maranda, makapi ya mazao mbali mbali, au majani makavu na ufugaji wa kwenye vichanja. Ufugaji huu hufanyika katika vichanja maalum vilivyotengenezwa kwa wavu wa chuma, mbao, au fito. Njia hii hutumika zaidi kwa ufugaji wa kuku wa mayai. Faida Kuku wengi huweza kufugwa katika eneo dogo. Ni…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
sehemu ya kitako iwekewe wavu wa chuma wenye matundu madogo ya sentimita 2
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kwa hiyo kuku apewe maji na chakula cha kutosha kila siku ili atulie. Mayai huanza kuanguliwa siku ya ishirini baada ya kuanza kuatamiwa. Mara tu baada ya uanguaji kukamilika, maganda ya mayai na mayai ambayo hayajaanguliwa yaondolewe kwenye kiota na kuchomwa moto. Kulea Vifaranga Kuku mwenye vifaranga awekwe mahali penye usalama, kwa muda wa mwezi mmoja au zaidi ili vifaranga wasichukuliwe na mwewe, vicheche, paka, kenge na kadhalika. Wape maji na chakula cha kutosha kwa muda wote Iwapo kuku wengi watakuwa wameangua kwa wakati mmoja…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
UTOTOAJI WA VIFARANGA
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Utotoaji wa vifaranga hufanywa na kuku, au mashine maalum za kutotolea vifaranga. Kuna aina mbili za mashine zinazotumika zaidi, nazo ni: Mashine Inayofanana na Meza Mashine zilizo kama meza kwa kawaida ni ndogo na zina uwezo wa kuchukua mayai machache kuanzia hamsini hadi mia tano. Mashine hizi huitwa “Flat table incubators” na zina sahani kubwa za mraba ambamo huwekwa maji. Pia hutumia maji ya moto au hewa yenyejoto. Kati ya rnashine hizo, zipo zinazotumia umome au mafuta ya taa. Mashine za Aina ya Masanduku au Makabati Makubwa ya Chuma au…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU 2
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kabla ya Kutengeneza Chakula Lazima Mtengenezaji Ajue haya Yafuatayo: Jinsi ya kupata vyakula vya aina mbali mbali. Kiasi cha viinilishe vinavyohitajika kwa kuzingatia umri na aina tofauti ya kuku; kwa mfano vifaranga wanahitaji protini asilimia 18 hadi 22, kuku wanaokua asilimia 17 hadi 19 na kuku wa mayai asimilia 15 hadi 17. Vile vile madini aina ya Kalsiamu kiasi cha asilimia tatu hadi nne kinahitajika kwa kuku wa mayai na asilimia moja kwa kuku wa nyama na vifaranga. Viwango vya uchanganyaji wa aina za vyakula mbali mbali: Ili…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU 3
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Jedwali Na. 3 Vyakula na Viwango Vinavyohitajika katika Asilimia 100 Aina ya Chakula Kiwango cha Uchanganyaji (%) Vyakula Vifaranga Kuku wa Nyama Kuku wa Mayai Mahindi 70 70 70 Ulezi 20 40 40 Mtama 20 30 30 Mpunga 40 70 70 Ngano 5 40 40 Pumba za mahindi 10 20 20 Pumba za Mpunga 10 20 20 Pumba za Mtama 10 20 20 Pumba za Ngano 5 15 15 Mashudu ya nazi 10 30 40 Mashudu ya Pamba 5 10 5 Mashudu ya Alizeti 10 20 20 Mashudu ya Ufuta 10 10 5 Damu iliyokaushvva 5 5 5 Mifupa iliyosagwa 5 5 7.5 Dagaa 10 5 5 Lusina iliyosagwa (Lucerne meal) Lukina 5 5 5…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
MAGONJWA YANAYOSABABISHWA NA UPUNGUFU WA CHAKULA
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Iwapo kuku watapewa chakula chenye upungufu wa viinilishe muhimu kama protini, wanga, madini na vitamini, wanaweza kupata madhara yafuatayo: Kudumaa. Uzito kupungua. Damu kupungua. Mifupa kupinda, kuvimba au kutokuwa imara. Kupungua kwa utagaji wa mayai na kuanguliwa kwa mayai. Kupungua uwezo wa kutaga. Ganda la yai huwa laini na hivyo kuvunjika kwa urahisi. Manyoya huwa machache na dhaifu. Kujikunja kwa miguu na vidole. Kupinda kwa shingo. Kuwa na maji mengi mazito chini ya ngozi ya kifuani. Kupata magonjwa ya mara kwa mara. Hali ikikithiri…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
Soma PDF ya Kitabu Kamili
Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.
Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.