Misingi na Dhana Muhimu: Kupambana na Magonjwa ya Kuku – Jinsi ya Kutibu na Kuchanja – RLDC
Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Kupambana na Magonjwa ya Kuku – Jinsi ya Kutibu na Kuchanja – RLDC. Fahamu dhana na maneno muhimu yanayoelezwa ndani ya kitabu hiki cha ufugaji wa kuku. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.
Dhana muhimu na maelezo yake kwenye chanzo
Sura hii itazingatia zaidi kueleza magonjwa na wadudu pamoja na athari za lishe duni katika
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
uzalishaji wa kuku wa asili. Dalili za kuku Mgonjwa Dalili za ujumla za kuku mgonjwa ni kama zifuatazo: Kuzubaa Kupoteza hamu ya kula Kujitenga na wenzake katika kundi Kujikunyata Kupunguza au kusimama kutaga Kumbuka: Ukiona dalili moja au zaidi ya hizi muone mtaalam wa mifugo aliye karibu. Magonjwa ya kuku Magonjwa yanayoweza kuathiri kuku ni mengi. Magonjwa hayo yamegawanyika katika makundi tofauti kutegemeana na kisababishi chake. Vyanzo vya magonjwa ni virusi, bakteria, protozoa, minyoo, wadudu wa aina mbali mbali na upungufu wa…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
Sura hii itazingatia zaidi kueleza magonjwa na wadudu pamoja na athari za lishe duni katika 2
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Ikitokea kuku wakaugua magonjwa yanayosababishwa na virusi, unachotakiwa kufanyika ni kutibu madhara yanayotokana na ugonjwa wenyewe kama itakavyofafanuliwa katika maelezo yafuatayo: Kupambana na magonjwa ya kuku: Jinsi ya kutibu na kuchanja Mdondo Ugonjwa unaosumbua sana wafugaji wa kuku ni Mdondo na wengine huuita Kideri (new castle disease). Chanzo cha ugonjwa huu ni virusi. Ni ugonjwa unaoathiri kuku wa rika zote na mara nyingi humaliza kuku wengi au wote vijijini. Dalili za Mdondo ni: Kuku hukohoa Kuhema kwa shida Hushusha mbawa Kupoteza…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
Sura hii itazingatia zaidi kueleza magonjwa na wadudu pamoja na athari za lishe duni katika 3
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kudhibiti Mdondo Kuchanja Kwanza kabisa ni chanjo ya Mdondo. Zipo aina tofauti za chanjo ya Mdondo. Lakini chanjo iliyo rahisi kutumiwa vijijini inaitwa I-2 Thermostable. Chanjo hii tofauti na chanjo nyingine nyingi inao uwezo wa kustahimili joto. Hutolewa kwa njia ya kuku kudondoshewa tone moja la dawa katika jicho moja tu. Hii ni dozi kamili kwa kuku wa umri wowote. Kupambana na magonjwa ya kuku: Jinsi ya kutibu na kuchanja Dawa hii upatikana kwenye maduka ya madawa ya mifugo au ofisi za serikali za mifugo. Utaratibu wa kuchanja kwa dawa ya…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
Sura hii itazingatia zaidi kueleza magonjwa na wadudu pamoja na athari za lishe duni katika 4
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Japo chanjo ya I-2 Thermostable, ni muhimu ihifadhiwe sehemu kavu na yenye ubaridi wa kawaida isipate joto, la sivyo itaharibika na haitafaa tena kwa chanjo. Pia unaposafirisha dawa hii tumia chombo amacho hakitaruhusu dawa kupata joto. Vile vile wakati wa kuchanja shughuli hii ifanyie kivulini dawa isipate mionzi ya jua. Njia nyingine za kudhibiti Mdondo Banda na vyombo vyote vinavyotumika ndani ya banda.viwe safi wakati wote. Tenga kuku wageni kwa muda wa wiki 2 na kuwachanja kabla ya kuwachanganya na kuku wenyeji. Choma mizoga inayoweza…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
Sura hii itazingatia zaidi kueleza magonjwa na wadudu pamoja na athari za lishe duni katika 5
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kuku wengi wakifa kwa ugonjwa huu usilete kuku wengine katika eneo au banda lako hadi angalau upite mwezi mmoja. Kupambana na magonjwa ya kuku: Jinsi ya kutibu na kuchanja Magonjwa mengine yanayosababishwa na virusi Ugonjwa Dalili za ugonjwa Kinga/ tiba Ndui ya kuku (Fowl – Vipele vya mviringo Hakuna tiba pox) ambavyo huweza kuungana Kinga: na kusababisha vidonda – Kuku wachanjwe dhidi ya kwenye upanga, masikio ugonjwa wakiwa na umri na miguu hususan sehemu wa miezi 2 au kulingana zisizo na manyonya. na maelekezo ya Utando mweupe mdomoni.…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
Sura hii itazingatia zaidi kueleza magonjwa na wadudu pamoja na athari za lishe duni katika 6
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kuku kuharisha kinyesi cha – Kutenga kuku wagonjwa majimaji, ili wasiwambukize hushindwa kusimama, wengine. hutetemeka na hatimaye – Kuku wapewe antibiotic kufa na vitamin ili kutibu magonjwa nyemelezi Mafua makali ya – Kupumua kwa shida. – Ukiona dalili hizo toa ndege (Avian – Kukohoa na kupiga chafya. taarifa kwa Daktari/ influenza) – Sehemu za kikole (kidevu Mtalaam wa Mifugo aliye na kishungi)) hubadilika na karibu nawe. kuwa na rangi ya zambarau. – Ugonjwa huu hauna tiba. Kutokwa na machozi, Kuku kupinda shingo na kuanza kuzunguka.…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
Sura hii itazingatia zaidi kueleza magonjwa na wadudu pamoja na athari za lishe duni katika 7
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kupambana na magonjwa ya kuku: Jinsi ya kutibu na kuchanja Magonjwa yanayosababishwa na Bakteria Ugonjwa Dalili za ugonjwa Kinga/ tiba Homa ya matumbo – Ugonjwa huu unaweza – Kuzika au kuchoma (Fowl typhoid) kurithiwa kupitia kwenye moto mizoga na masalia mayai au kuambukizwa ya kuku waliokufa kwa kutokana na kuku ugonjwa huo. wagonjwa, kinyesi, – Usafi wa banda na kudonoana na mazingira mazingira yake. machafu. – Ondoa kuku wenye Kuku huharisha mharo wa ugonjwa na usitumie njano vilemba na upanga mayai yenye ugonjwa hupauka kutokana na…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
Sura hii itazingatia zaidi kueleza magonjwa na wadudu pamoja na athari za lishe duni katika 8
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Mafua ya kuku – Kutoa machozi – Kinga: usafi wa Banda na (infections coryza) – Kuku huvimba uso na mazingira uzingatiwe macho, kamasi hutiririka – Tiba: ugonjwa unatibika toka puani na mdomoni, kama hatua za uudhibiti hukohoa, huhema kwa zitakuckuliwa mapema shida na kukoroma. Mayai (Dawa za antibiotic hupungua asilimia 10 hadi hutumika mfano OTC 40. 20% ya unga). Kushindwa kula Kudhoofika na hatimaye kufa. Kipindupindu cha – Kuku huhara mharo wa Kinga: Usafi wa banda, kuku (Fowl cholera) rangi ya njano. vyombo na mazingira Husinzia na…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
Sura hii itazingatia zaidi kueleza magonjwa na wadudu pamoja na athari za lishe duni katika 10
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kukonda Kinga: Kusafisha vyombo vya chakula na vya Kupauka sehemu sisizo na kunywea maji kila siku kwa kutumia maji na manyoya kama upanga, sabuni au dawa za kuua wadudu. ndevu masikio na macho. – Kutenganisha kuku wakubwa na wadogo. Utagaji wa mayai hupungua – Kubadilisha matandazo kwenye sakafu kila au kusimama kabisa. baada ya miezi mitatu. Kuharisha. – Kuzingatia usafi wa banda. Minyoo inaweza kuonekana – Kuwapa dawa ya kuzuia aina nyingi za minyoo kwenye kinyesi. kila baada ya miezi mitatu. Kupambana na magonjwa ya kuku: Jinsi ya kutibu…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
Soma PDF ya Kitabu Kamili
Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.
Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.