Skip to main content

Kanuni za Ufugaji Bora wa Kuku: Misingi na Dhana Muhimu

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Misingi na Dhana Muhimu: Kanuni za Ufugaji Bora wa Kuku

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Kanuni za Ufugaji Bora wa Kuku. Fahamu dhana na maneno muhimu yanayoelezwa ndani ya kitabu hiki cha ufugaji wa kuku. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Kanuni za Ufugaji Bora wa Kuku · PDF · 7 kurasa

Kanuni za Ufugaji Bora wa Kuku – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Dhana muhimu na maelezo yake kwenye chanzo

KANUNI ZA UFUGAJI BORA WA KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Watu wengi hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa matumizi mbalimbali. Mifumo ya ufugaji kuku ambayo hutumika hapa nchini ni huria, nusu huria na shadidi. Ufugaji wa kuku utakuwa endelevu na wenye tija kwa kufuata kanuni za ufugaji bora zifuatazo:  Kufuga kuku kwenye banda bora,  Kuchagua kuku bora wa kufuga,  Kutunza na kulisha kuku kulingana na hatua mbalimbali za ukuaji  Kudhibiti na kutibu magonjwa ya kuku;  Kutunza…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

KANUNI ZA UFUGAJI BORA WA KUKU 2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Banda bora la kuku linatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:  Imara, lenye uwezo wa kuwahifadhi kiafya na pia dhidi ya hali ya hewa hatarishi kwa mfano jua kali, upepo, baridi na mvua pamoja na wanyama hatari,  Lenye mwanga, hewa na nafasi ya kutosha inayoruhusu usafi kufanyika kwa urahisi,  Lijengwe sehemu yenye mwinuko isiyotuama maji, isiyo na upepo mkali na iwe mbali kidogo na nyumba ya kuishi watu,  Liwe na vichanja kwa ajili ya kuku kupumzika na kulala  Liwe na sehemu ya kuwekea chakula, maji, kutagia, kuatamia na sehemu ya kulelea…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

KANUNI ZA UFUGAJI BORA WA KUKU 3

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Baadhi ya vifaa hivyo ni kama ifuatavyo:  Sakafu – Saruji, udongo, mbao, mianzi au fito  Kuta – Fito, mabanzi, mbao, nguzo mianzi, udongo, matofali, mawe, mabati na wavu  Paa – Nyasi, makuti, majani ya migomba, mabati na vigae.  Wigo – Matofali, mbao, fito nguzo, mabanzi, mianzi,matete, wavu na mabati 1.2 Ukubwa wa Banda Ukubwa wa banda utategemea idadi ya kuku na aina ya kundi la kuku. Kuku wanahitaji nafasi tofauti kutegemea umri, aina na njia ya ufugaji. Eneo la mita moja ya mraba linatosha kwa vifaranga 16 wa umri wa wiki 1 – 4. Hivyo…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

2 Kutunza Kuku Wanaokua Wiki 8-18

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Utunzaji wa kundi hili unategemea mfumo unaotumika. Kuku Wanaofugwa Katika Mfumo Huria Kuku wanaofugwa katika mfumo huu wapatiwe matunzo bora yakiwemo yafuatayo; Wapewe chakula cha ziada asubuhi kabla ya kutoka na wanaporudi kwenye banda. Chakula hicho kinaweza kugawanywa mara ya 2 kwa siku,  Wapatiwe maji safi na ya kutosha wakati wote  Wapatiwe chanjo na dawa kulingana na ushauri wa mtaalam wa mifugo. Wiki ya kumi warudie chanjo ya mdondo, wiki ya 12 kuhara (fowl cholera), wiki ya 14 ndui ya kuku, Kuku Wanaofugwa Katika Mfumo Shadidi …

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

60 Na gharama ya chakula huongezeka kila mwaka kuliko hata gharama za mayai au

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

kuku wenyewe. Mfugaji anaweza kununua chakula kilichochanganywa au kuchanganya mwenyewe. Ila anapaswa kuzingatia virutubisho na viini lishe vilivyopo katika chakula hicho pia kuzingatia mahitaji ya kuku wake. Virutubisho vinavyotakiwa ni vingi lakini vimegawanywa katika makundi sita ya vyakula ambavyo ni; protin, wanga, mafuta, madini,vitamini na maji. Protini inahitajika kujenga mwili wa kuku. Ni muhimu kwa ukuaji wa kuku, uzalishaji wa mayai na kuimarisha afya. Wanga na mafuta vinahitajika ili kuupa mwili nguvu na joto na kuwezesha mwili…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document