Skip to main content

Fahamu Magonjwa ya Kuku na Matibabu Yake: Misingi na Dhana Muhimu

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Misingi na Dhana Muhimu: Fahamu Magonjwa ya Kuku na Matibabu Yake

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Fahamu Magonjwa ya Kuku na Matibabu Yake. Fahamu dhana na maneno muhimu yanayoelezwa ndani ya kitabu hiki cha ufugaji wa kuku. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Fahamu Magonjwa ya Kuku na Matibabu Yake · PDF · 19 kurasa

Fahamu Magonjwa ya Kuku na Matibabu Yake – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Dhana muhimu na maelezo yake kwenye chanzo

Mada ya 1

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

1. Ugonjwa wa Mdondo: Ugonjwa huu huathiri kuku katika umri wowote na unapoingia kwenye kundi huweza kuua idadi kubwa ya kuku hao hadi kufikia asilimia tisini. Ndege wakubwa hustahimili kidogo kuliko wale wadogo kwasababu ya usugu mwilini (body immunity) uliojengeka kwa muda mrefu zaidi. . Ugonjwa huu husababishwa na kimelea cha kirusi kiitwacho Paramyxo viridae na huenezwa kwa njia ya hewa na kugusana. Dalili zake: Kukohoa na kuhema kwa shida Ute hutoka mdomoni na puani Kuku walioathirika hupata kizunguzungu. Kuharisha uharo wa kijani na…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

TIBA ZAKE 2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Tiba; Ugonjwa huu hutibika kwa kutumia dawa za (i) Kundi la suphur Mfano: sulphonamides (ESB3) kwa siku 3-4 (ii) Amprolium Kinga: Zingatia usafi mara kwa mara Kwakuwa ugonjwa huu huambatana na majimaji na uchafu wenye vimelea vya ugonjwa huu, ni vizuri kuhakikisha banda la kuku linakuwa safi na kavu wakati wote. Tenga kuku wagonjwa kutoka kwa walio wazima. Tumia dawa ya kinga ili kuepusha uwezekano wa kuku kuambukizwa ugonjwa huu Dawa inayopendekezwa ni zile zinzoitwa (coccidiostat). Tenga kuku wadogo (vifaranga) kutoka kwenye kundi la…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

TIBA ZAKE 3

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ugonjwa huu husababishwa na kirusi kiitwacho Orthomyxo virus. Ugonjwa huu huenezwa kwa njia ya kugusana baina ya ndege na ndege na baina ya ndege na binadamu. Dalili zake: Dalili za ugonjwa huu huanza kuonekana katika kipindi cha siku 3-7 baada ya kuku kuambukizwa. Dalili hutofautiana kutokana na umri wa ndege. Baadhi ya dalili zake ni hizi zifuatazo Kuku /ndege hupumua kwa shida (dyspnoea). Kuzubaa. Kutokwa na machozi. Kukohoa na kupiga chafya. Kuharisha kinyesi chenye majimaji.

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

Sehemu ya juu kichwani hubadilika na kuwa

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

na rangi ya bluu iliyopauka. Kuku hutaga mayai yenye maganda laini. Tiba: Ugonjwa huu hauna tiba . Kinga na kuzuia kuenea kwa ugonjwa huu: Toa taarifa kwa mganga (daktari wa mifugo aliye karibu ukiona dalili za ugonjwa huu. Tenga mabanda ya kuku wagonjwa na walio wazima. Fungia kuku wako wasitembee holela. Acha kununua kuku kutoka eneo linalohisiwa kuwa na ugonjwa huu. Acha kusafirisha mifugo /ndege bila idhini ya daktari. Zuia wageni kutembelea mabanda yako ya kuku. Acha kuhamisha mbolea ya kuku kwenda shambani kutoka kwenye banda la kuku…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

8 Magonjwa yatokanayo na Lishe Nutritional

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

and Metabolic Disorders): Dalili za magonjwa haya hutegemea aina ya virutubisho vinavyokosekana mwilini Kwa mfano: Kupinda miguu (rickets) husababishwa na upungufu wa Vitamin D, madini ya calcium na fosforasi. Vidonda vyenye vyenye damu husababishwa na vitamin K Kichaa cha kuku na kusinyaa kwa misuli husababishwa na upungufu wa Vitamin E Magamba ya Mayai (egg shell)kuwa laini ama umbo kuwa bovu husababishwa na upungufu wa madini ya calcium na fosforasi. Kudonoana kusababishwa kwa njia moja au nyingine na upungufu wa chakula na madini ya chuma…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document