Skip to main content

Banda Lenye Tija – Mwongozo wa Banda la Kuku – Zacharia Nyiliwa: Misingi na Dhana Muhimu

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Misingi na Dhana Muhimu: Banda Lenye Tija – Mwongozo wa Banda la Kuku – Zacharia Nyiliwa

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Banda Lenye Tija – Mwongozo wa Banda la Kuku – Zacharia Nyiliwa. Fahamu dhana na maneno muhimu yanayoelezwa ndani ya kitabu hiki cha ufugaji wa kuku. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Banda Lenye Tija – Mwongozo wa Banda la Kuku – Zacharia Nyiliwa · PDF · 22 kurasa

Banda Lenye Tija - Mwongozo wa Banda la Kuku - Zacharia Nyiliwa – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Dhana muhimu na maelezo yake kwenye chanzo

SIFA YA BANDA BORA LA KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Sifa ya kwanza liwe la gharama nafuu na lenye uwezo wa kudumu kwa muda mrefu Sifa ya pili liwe limezinmgatia vipimo kulinganma na idadi ya kuku Sifa ya tatu liwe na uwezo wa kuzuia wanyama wakali kitaalamu uitwa PREDETOR Sifa ya nne liwe na nafasi ya kuweka vyombo vya chakula na maji Sifa ya tano liwe na uwezo wa kuzuia jua /upepo mkali/mvua Sifa ya sita liwe na uwezo wa kuingiza hewa safi na salama

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

MIFUMO YA UFUGAJI WA KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kuna aina nyingi za mifumo ya ufugaji na utumika kulingana na mazingira husika ili kuweza kukidhi haja ya mahitaji mara nyingi sehemu zenye joto uwa na ramani za mabanda yake na sehemu zenye baridi uwa na ramani ya mabanda yake kulingana na HALI YA HEWA

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

MFUMO HURIA/FREE RANGE

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ni aina ya mfumo wa ufugaji ambao unawaachia kuku wajitafutie chakula chao wenyewe na jioni urejea ndani na mara nyingi AINA HII YA MFUMO utumiwa zaidi na kaya nyingi hasa maeneo ya VIJIJINI NA MIJINI kwa lengo la kupunguza gharama za chakula FAIDA kubwa ya kutumia mfumo huu ni kwamba utumia bajeti ndogo ya chakula na maji sababu unawaachia wajitafutie wenyewe lakini pia upunguza gharana za ujenzi wa banda / HASARA yake ni kwamba uwa lahisi kwa kuku kupatwa na magonjwa yanayosabishwa na virusi , bacteria,upungufu wa lishe bora vile vile lahisi…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

MFUMO WA NUSU HURIA/SEMI- INTENSIVE

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ni aina ya mfumo ambao unawaachia kuku watembee na kula chakula wakiwa ndani WIGO na jioni unawarurhusu kuingia ndani ya mabanda yao kulala, ni idadi chache ya watu katika maeneo mbalimbali utumia mfumo huu wa UFUGAJI FAIDA ya mfumo wa nusu huria ni kwamba kuku wako wanakua awatembei mbali na maeneo ya banda lao sababu ya wigo hivyo inakua lahisi kufatilia maendeleo yao kwa siku na kutambua idaidi halisi ya kuku wako lakini pia usaidia kuwalinda kuku dhidi ya WEZI HASARA ya kutumia mfumo wa nusu huria ni uwa unahitaji gharama kubwa ya ujenzi…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

UFUGAJI WA NDANI/INTENSIVE SYSTEM

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ni mfumo wa ufugaji ambao unawafungia kuku ndani ya banda kuanzia asubui hadi jioni na aina hii watu wengi uwa wanatumia hasa maeneo ya MIJINI sababu ya kuwa na idadi kubwa ya watu katika eneo moja FAIDA ya kutumia mfumo huu ni kwamba usaidia kuku wako kuwa na usalama asilimia 100 dhidi ya WEZI WA KUKU lakini pia usaidia kuwalisha chakula kilichokua na virutubisho vyote muhimu

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

BALANCE DIET

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

HASARA ya kutumia mfumo huu ni gharama ya chakula cha kuku kwa kutwa mzima lakini pia gharama ya kununua vyombo vya chakula [drinkers/feeder]watu wengi hasa kaya ya vijijini ushindwa kumudu BANDA

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

DEEP WATER SYSTEM

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ni aina ya mifumo ya ufugaji ambao utumia njia nza kisasa katika kusambaza maji na chakula ndani ya banda la kuku na kutokana na utumiwa na idadi chache ya watu hasa MIJINI sababu ya ugeni wake kwa wafugaji wengi FAIDA ya kutumia mfumo huu ni kwamba hautahitaji tena kutumia gharama za wafanyakazi wengi bandani sababu SETUP zake ulahisisha matumizi ya watu bandani sababu ya muundo wake wa kisasa wa kusambaza maji na chakula kupitia mfumo wa VYOMBO MAALUMU HASARA ya kutumia mfumo huu ni kwamba unatumia gharama kubwa ya kufunga MITAMBO ya…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

MFUMO WA CAGE/CAGE SYSTEM

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ni mfumo unaotumia wire katika utengenezaji wake kwa muundo wa vyumba [PARTITION] na uwa ina uwezo wa kuchukua hadi kuku 120 katika banda moja na ni mfumo wa kigeni watu wengi bado awajaanza kuutumia kwa wingi Zaidi FAIDA ni mfumo wa kisasa ambao una uwezo wa kufuga idadi kubwa ya kuku katika eneo ndogo hivyo ni lahisi kufuga kuku bila kujenga banda kubwa sababu CAGE zinatosha lakini pia upunguza maambukizi ya magonjwa sababau uwa na MFUMO mzuri wa kuingiza maji na chakula bila kuchanganyika na kinyesi HASARA ya mfumo huu ni gharama za…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

MFUMO WA KUAMISHA ENEO/ FOLDING UNIT SYSTEM

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ni aina ya mfumo wa ufugaji ambao banda lake linakua na uwezo wa kuamishika kutoka sehemu moja hadi sehemu nyingine na mara zote uwa linatumika Zaidi maeneo yenye joto la wastani sababu asilimia kubwa ya material yake ni WIRE FAIDA yake ni kwamba linatumia gharama ndogo katika ujenzi wake lakini pia lina uwezo wa kuliamisha ikiwa utakua unataka kubadilisha mazingira ama kuamia sehemu nyingine HASARA yake ni kwamba linakua halina uwezo wa kubeba kuku wengi Zaidi sababu sio banda la kudumu na mara nyingi uwa ni NDOGO na utunza kuku wachache BANDA

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document