Kiswahili Kidato cha Tatu – Kusoma kwa Ufahamu
Maelezo haya ya Kiswahili Kidato cha Tatu yamepangwa kwa mada ili kurahisisha usomaji kwenye simu, marudio na maandalizi ya mitihani.
MADA YA SABA: KUSOMA KWA UFAHAMU.
Kusoma Kimya
Ufahamu wa kusoma ni ule mtu ancoupata kwa njia ya kusoma makala, kifungu cha habar, kitabu au gazet Maswali ya Ufahamu kutokana ne Habari uliyosoma Ratika ufahamn: wa kusoma, msomaji anatakiwa kuzingatia mambo yafualaye:
- Kubaini mawszo makwu; msomaji anaposoma habari fulani au kitabu inatkiwa ajiluze, Je,
kinachoongelewa hapa nin’? Ni jambo gani hasa analolizungumzia mwandishi? Msomaji akiwa ra maswali haya akilini mwake basi itakuws rahisi kwake kuielewa habari hiyo
- Kuzingatia alama 2a uakifishi; msomaji ni lazima azingatie alama za vakifishi, kwa kufanya
hivyo itamsaidia kuclewa ujumbe wa habari hiyo ma endapo hatazingatia alama za vakifishaji anaweza kupotosha maana ya mwandishi,
- Kubaini maana ya maneno na misemo mbalimbali; habari nyingine huwa zina maneno ya
kisanaa hivyo ni muhimu msomaji kubaini maana ya manene hayo katika muktadha wa habari hiyo, hii itamsaidia kuelewa vyema maana ya mwandishi.
- Vilevile msomaji anatakiwa kumakinikia kile anachokisoma, kila kipengele anachokisoma
inampasa akielewe vizuri Kwa kuzingatia haya yote msomaji atakuwa na uelewa mzuri juu ya habarialiyoisoma na pia anaweza kufupisha habari iyo aliyoisoma Kufupisha habari Kufupisha habari ni kuandika upya habar uliyoisoma kwa mancno machache lakini bila kupotosha ujumbe wa habari ya kwanza, Ufupisho wa habari huwwa na sia hizi
- Hawa ni mfupi kuliko habari ya mwanzo
- Huwana ujumbe uleule uliokuwa katika habari ya mwanzo
- Hujumuisha mawazo makuu yaliyodondolewa kutoka kwenye habari ya mwanzo
- Mawazo hayo sharti yapangwe katika mitririko wenye mantiki
Hiatua za kufata katika kuandika wfapisho [oi kuweza kufanikiwa kufupisha habari kwa ufanisi hatua zifuatzo shart zfuatwe:
- Kuisoma au kuisilikiza habori kwa makin ili kuiclewa vizuri
- Kutambua na kubaini mawazo makuw yanayojitokeza katika kila aya
- Kuyaunganisha mawazo makwu na kuandlika au kuelezea ufupisho wa habari hiyo kwa maneno
yako mwenyewe bila kupostosha maana ya habari ya kwanza,
- Kuhesabu idadi ya maneno ya ufupisho ili kuyapunguza ikiwa yanazi idadi iliyotakiwa
- Kama muda unarubuse pitia tena habari ya mwanzo na pitia tena ufupisho ili kujiridhisha kuwa
hhujaacha tearifa yoyote ya muhimu.
Kufupisha Habari Uliyoisoma
Muu mmoja na mkewe kuioka jamii ya Daliti inayobaguliwa tangu jadi nehini India wameuawa, mmoja akiwa amekatwa kichwa na mwengine kunyongwa kwa kushindwa kulipa deni la Rupee kumi ne tano ambalo ni karibu sent ishirini ma bili ta.
Polisi kaskazini mwva tafa hilo wamethibitisha kisa hicho ambapo yasemekana mfanyi biashara anayetokea jam ya hadhi ya juu,aliwaua wanandoa hao kwa kushindwa kulipa deni a biskuti walizokuwa wamewachukulia watoto wao.
Mfanyi biashara huyo amekametwa.Ubaguzi kwa misingi ya kijamii umcenea sana nchini India, hhuku watu wa jamii ya Daliti waliokuwa wamebadikwa jina la ‘the untouchables’ wakiwekwa kwenys daraja la chint abisa kwenye scra hiyo ya kibaguzi nchini India iitwayo ‘caste’ ambapo wananyimwa fursa nyingi za kimaendeleo na hivyo kubaki katika lindi la umaskini Hata hivyo Visa vya ukatili wa kiboguzi dhidi ya jomii ya Dalit katika jimbo la Gujarat
vimeongezeka mnamo siku 2a hivi karibuni na vimesibabisha wimbi la maandamano kutok watu wa jamit hiyo. Zoed Kwa maneno yasiyoridi 30 fupisha habariuliyoisoma hapo juu.
Continue Studying Form Three
← Previous: Uandishi wa Insha na Matangazo
Get Well-Formatted PDF Notes
For an easier offline copy with the original document formatting, click below to request the complete PDF notes.