Kiswahili Kidato cha Nne – Uhakiki wa Ushairi, Tamthiliya na Riwaya
Maelezo haya ya Kiswahili Kidato cha Nne yanahusu Uhakiki wa Ushairi, Tamthiliya na Riwaya. Yamepangwa kwa vipengele vinavyosomeka kwa urahisi kwenye simu, huku maudhui ya msingi, mifano, maelezo na mazoezi yaliyotambulika kutoka kwenye nyaraka yakihifadhiwa.
Dhana ya Uhakiki
Fafanua vipengele vya uhakiki
Uhakiki ni kitendo cha kutathmini, kueleza, kuainisha na kutoa maoni juu ya kazi fulani ya fasihi kwa kuongozwa na kaida maalum, Kwa kiwango cha elimu ya sekondari mhakiki anafanya kazi
ya uhakiki ili kuonesha mambo yanayojitokeza kama vile, dhamira, migogoro, ujumbe, falsafa, mtazamo, msimamo n.k
Dhima ya Mhakiki na Nafasi ya Mhakiki Uhakiki ni kazi ambayo ina mchango mkubwa sana katika kazi za fasihi. Kwa msingi huo uhakiki una dhima zifuatazo:
Husaidia wasomaji kuilewa kazi ya fasihi kwa urahisi; Watunzi wa kazi za fasihi hutofautiana katika matumizi ya lugha na taswira, hivyo mhakiki anapofanya kazi ya uhakiki anamsaidia msomaji kuelewa vipengele hivi kwa kuvifafanua kwa lugha rahisi.
Husaidia ukuaji wa kazi za fasihi;Mbakiki anapoonesha ubora na udhaifu wa kazi ya mtunzi fulani, watunzi wengine pia watafunguka kifikra na kutunga kazi iliyobora zaidi.
Uhakiki hukuza uelewa wa mhakiki; Kwa kuhakiki kazi mbalimbali za fasihi, mhakiki hujiongezea maarifa ya lugha pamoja na mambo yanayotokea katika jamii.
Nafasi ya Mhakiki
Mhahiki ana nafasi kubwa katika kazi za fasihi, Mhakaki ndiye anafafanua kazi ya fasihi ili hadhira iweze kumwelewa vizuri mtunzi wa kazi hiyo. Kwa hiyo hapa mhakiki anasaidia kurahisisha mawasiliano kati ya hadhira na mtunzi.
Vilevile mtunzi huwaonyesha watunzi ubora na udhaifu wa kazi zao. Kwa kufanya hivyo huwawezesha watunzi kufanya kazi bora zaidi.
Hatua za Kufuata wakati wa Kufanya Uhakiki Vilevile mtunzi huwaonyesha watunzi ubora na udhaifu wa kazi zao. Kwa kufanya hivyo huwawezesha watunzi kufanya kazi bora zaidi.
Kwanza ni kuisoma kazi ya fasihi; hapa mhakiki anatakiwa kuisoma kazi husika ya fasihi kwa kina na kuielewa vizuri.
Pili ni kuainisha na kuchambua mambo muhimu yanayojitokeza katika kazi hiyo katika vipengele vya fani na maudhui.
Tatu ni kutoa tathimini au kuelezea ubora na udhaifu wa kazi inayohusika.
UHAKIKI WA MASHAIRI Shairi ni utungo wa kisanaa wenye mpangilio maalum wa lugha ya mkato unaowasilisha mawazo au ujumbe kuhusu mwanadamu au mazingira yake na hufuata utaratibu fulani. Mashairi yapo ya aina mbili:
1. Mashairi huru
2. Mashairi ya arudhi
$d
Mashairi ya arudhi Haya ni mashairi yanayofuata kanuni za kimapokeo au arudhi za utunzi wa mashairi. Arudhi/kanuni hizi ni pamoja na:
a
rey
6. 7. 8.
9.
Kugawika kwa shairi katika beti Beti kuwa na idadi maalum ya mishororo.
Mishororo ya ubeti kugawika katika vipande Mishororo kuwa na ulinganifu wa mizani
Shairi kuwa na urari wa vina
Shairi kuweza kuimbika /kuwa na mahadhi au mapigo. Kuwepo kwa kipokeo katika shairi
Kuwa na mtiririko wa mantiki na mawazo au muwala
hairi kuwa na utoshelezo wa beti / kujisimamia kimaana.
Mashairi huru Pia hujulikana kama mashairi ya kimapinduzi. Haya ni mashairi yasiozingatia lazima ya arudhi
na hi
1.
yee
vyo huwa na muundo huru. Sifa zake kuu huweza kuwa: Lugha ya muhtasari
Lugha yenye mahadhi
Lugha ya kisanii iliyo na mafumbo na taswira
Mara nyingine hugawika katika beti.
Mishororo kamilifu (inayojitosheleza) na ile isiyo kamilifu (mishata)
Sifa za Mashairi Mashairi huwa na sifa maalum zinazoyatambulisha kama kazi ya kishairi, yawe ya kimapokeo au
kima)
pinduzi.
Sifa hizi ni kama vile:
3. 4.
%
Mashairi hutumia ugha ya mkato / muhtasari Ni sanaa au kazi iliyobuniwa kwa ufundi
Huwa na mpangilio maalum kuanzia mistari hadi beti.
Hutumia lugha teule na msamiati teule uliosheheni tamathali, taswira na jazanda.
Mashairi huwa na sifa ya kuweza kuimbika hivyo shairi ni wimbo na wimbo ni shairi.
Dhima ya mashairi
re
6.
Hatu;
Kupasha ujumbe kwa hadhira kwa njia ya upole na mvuto Kuelimisha na kuzindua jamii.
Kuendeleza na kukuza kipawa cha utunzi.
Kuhifadhi msamiati wa lugha ya Kiswahili na Sanaa ya fasihi. Kuburudisha hadhira na wasomaji.
Kuwasilisha hisia za ndani za mtu na mawazo
a. za uhakiki wa mashairi
en |
"FF
wv
Soma shairi polepole na kwa makini kupata maana ya jumla.
Soma shairi tena kwa utaratibu ukizingatia maneno na vipande mbalimbali_ na kuchunguza maana ya kila mojawapo
Pitia maswali yote kwa makini ukitilia maanani aina ya majibu yanayotarajiwa. Soma shairi tena ukipigia mstari kwa penseli sehemu zinazoclekea kujibu maswali.
Toa majibu kamilifu kulingana na swali kwa lugha ya mtiririko.
Vipengee vya Uchambuzi Wa Mashairi L
Anwani/kichwa cha shairi — Huwa ni muhtasari wa shairi katika neno au sentensi moja. Anwani ni kidokezo muhimu cha kinachozungumziwa katika shairi. Anwani huweza kuwa ya moja kwa moja, fumbo, kinaya, kibwagizo au schemu ya kibwagizo. Ikiwa shairi halina anwani, basi lipewe anwani inayoafikiana na maudhui au dhamira kwasentensi isiyozidi maneno 6.
Maudhui— Haya ni masuala makuu au mambo muhimu yanayohusu mwanadamu au mazingira yake yanayozungumziwa katika shairi. Kwa mfano: malezi, siasa, usalama, unyanyasaji, ufisadi n.k. Maudhui hung'amuliwa kwa wepesi kutokana na kisa kilichomo katika shairi.
Dhamira / shabaha – Ni lengo kuu la mshairi katika kusanifu utungo wake. Dhamira ya mtunzi huwa ni ujumbe kwa kifupi anaoutambua msomaji kutokana na mwelekeo wa usemaji wa mtunzi katika shairi. Mfano: Baada ya kusoma shairi, unaweza kung'amua mtunzi alitaka kusisitiza kauli kuwa uongozi mbaya haufai, misitu ni uhai n.k. Dhamira hutokana na mwelekeo wa mawazo ya mshairi au falsafa yake.
Mbinu na tamathali za lugha- Ni mbinu za uandishi na tamathali za usemi zilizotumiwa na mshairi katika shairi. Mfano:Mazda / ziada / zidi – kurefusha maneno;enda kuwaenenda. —Inksari_ = /—smuhtasari. «= – = Ni_—kufupisha maneno;aliyefika kuwa alofika. Utohozi — Mbinu ya kugeuza msamiati / maneno ya lugha geni ili yaandikike na kutamkika kana kwamba ni ya Kiswahili. Mfano: Time – taimu; One — Wani. Mbinu hii vilevile huitwa ukopaji au uswahilishaji.
Taarifa Muhimu za Mwandishi wa kila Kitabu Mwandishi wa fasihi ni mtu anaeweza kubuni kazi ya fasihi na kuiweka katika maandishi. | Unaposoma kazi za fasihi ni lazima ujue taarifa muhimu za mwandishi wa kazi hiyo, ambazo ni
jina, kwa sababu kila utakapokua unajibu swali ni lazima utaje jina la mwandishi wa kitabu. Falsafa na utamaduni kujua msimamo wake, na muundo kujua mpangilio wa matukio, mtindo kujua upekee wake na matumizi ya lugha.
Po
Continue Studying Form Four
← Ukuaji na Ueneaji wa Kiswahili Utungaji wa Mashairi →
Get Well-Formatted PDF Notes
For a cleaner PDF copy for offline study, revision and printing, request the notes through WhatsApp.