Skip to main content

Nafasi za Ajira Magereza Tanzania 2025 — Archive ya Tangazo

Nafasi za Ajira Magereza Tanzania 2025 | Archive ya Tangazo
Archive / Taarifa ya zamani: Tangazo hili la ajira Magereza ni la mwaka 2025 na limehifadhiwa kwa kumbukumbu. Kwa nafasi mpya, tumia matangazo rasmi ya Jeshi la Magereza au ajira za Serikali; usitegemee tarehe zilizopo hapa.
ARCHIVE — Tangazo la 2025: Makala hii imehifadhiwa kwa kumbukumbu. Usichukulie nafasi hizi kuwa bado ziko wazi. Kwa ajira mpya tumia matangazo rasmi ya Jeshi la Magereza na Ajira Portal.
Hakimiliki © Usinakili

Archive: Nafasi za Ajira Magereza Tanzania 2025

Jeshi la Magereza lilitangaza nafasi za ajira mbalimbali kwa vijana wa Kitanzania kuanzia elimu ya kidato cha nne hadi stashahada na shahada. Hii ni nafasi muhimu kwa wale wanaotafuta ajira serikalini.

Vigezo vya Waombaji

  • Raia wa Tanzania.
  • Umri: miaka 18–24 kwa wahitimu wa kidato cha nne, na miaka 18–28 kwa wenye ujuzi au taaluma maalum.
  • Afya njema, nidhamu na tabia nzuri.
  • Hakuna alama za miili (tattoo).
  • Hakuna rekodi ya makosa ya jinai.

Taaluma Zilizohitajika

Miongoni mwa fani ni: Usalama wa Mitandao (Cyber Security), Uhandisi, Saikolojia, Uuguzi, Kilimo, Mifugo, Katibu Muhtasi na nyingine nyingi.

Jinsi ya Kuomba Ajira Magereza

Waombaji wanapaswa kuwasilisha maombi kupitia mfumo rasmi wa Jeshi la Magereza (TPSRMS). Mwisho wa kutuma maombi ni Agosti 29, 2025.

👉 Omba Ajira Magereza Hapa

Unaweza kupata taarifa kamili kupitia tovuti yao rasmi. Bonyeza hapa kwa taarifa zaidi kuhusu nafasi za ajira, .

6 thoughts on “Nafasi za Ajira Magereza Tanzania 2025 — Archive ya Tangazo”

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
Changia Notes / Document