Karibu kwenye Jukwaa la Elimu ya Ujasiriamali
Pata maarifa, ujuzi na rasilimali za kuanzisha na kukuza biashara yako. Jukwaa hili limekusudiwa kusaidia wajasiriamali wa Tanzania kutimiza ndoto zao.
Mada Muhimu za Ujasiriamali
Mapendekezo ya Biashara
Habari Mpya
Mafunzo kwa Video
Jinsi ya Kuanzisha Biashara
Dakika 15:30
Mbinu za Masoko Digitali
Dakika 12:45
Maswali na Majibu
Je, naanzaje biashara bila mtaji mkubwa?
Unaweza kuanza kwa kutafuta biashara zinazohitaji mtaji mdogo kama uuzaji wa bidhaa mtandaoni, huduma za usafi, ushauri...
Taratibu gani za kisheria ninahitaji kuzingatia?
Kuhakikisha biashara yako ipo kisheria, unahitaji usajili wa biashara kutoka BRELA, TIN kutoka TRA pamoja na...
Chagua Aina ya Biashara
Weka Jina la Biashara Yako
Mawazo Mapya ya Biashara
Download Zone
Jamii ya Wajasiriamali
Juma Kimaro
saa 2 zilizopitaNimeanza biashara ya ufugaji wa kuku. Mna ushauri wowote kuhusu masoko?
Ratiba ya Mafunzo & Webinars
Ufadhili wa Biashara na Uwajibikaji
Jifunze jinsi ya kutafuta na kutuma maombi ya ufadhili kwa wawekezaji na taasisi za kifedha.
Masoko ya Kidigitali kwa Wajasiriamali
Mafunzo ya matumizi ya mitandao ya kijamii kuendeleza biashara na kufikia wateja wengi zaidi.
Usimamizi wa Fedha katika Biashara
Jinsi ya kudhibiti mapato na matumizi, kupanga bajeti na kufanya maamuzi sahihi ya kifedha.
Ingia kwenye Akaunti
Huna akaunti? Jisajili