Skip to main content

Tenzi za Rohoni 143 – Nchi Nzuri Yametameta

Tenzi za Rohoni 143 – Nchi Nzuri Yametameta

Tenzi Na. 143

Soma maneno kamili ya Tenzi za Rohoni namba 143, “Nchi Nzuri Yametameta”, kwa ajili ya ibada, kuimba na kujifunza.


Maneno ya Wimbo

KIITIKIO:
/: Si mbali, karibu,
tutaimba na sisi huko! :/

1. Nchi nzuri yametameta,
huonekana kule mbali;
naye Yesu hutuongoza,
tukafike na sisi huko.

2. Kule tutawaona wengi
wapendwao na Yesu Bwana.
Tutashirikiana nao,
itakuwa furaha kubwa.

3. Tutamwona na Bwana wetu,
Yesu Kristo Mwokozi wetu.
Tutashangilia daima;
tuna hamu ya kwenda kwetu.


Tazama Tenzi za Rohoni 1–164


Omba App ya Tenzi za Rohoni kwa Android

banner
Scroll to Top