Skip to main content

Tenzi za Rohoni 157 – Kijito Cha Utakaso

Tenzi za Rohoni 157 – Kijito Cha Utakaso

Tenzi Na. 157

Soma maneno kamili ya Tenzi za Rohoni namba 157, “Kijito Cha Utakaso”, kwa ajili ya ibada, kuimba na kujifunza.


Maneno ya Wimbo

KIITIKIO:
Kijito cha utakaso,
nizame kuoshwa humo.
Namsifu Bwana kwa hiyo;
nimepata utakaso.

1. Kijito cha utakaso
ni damu ya Yesu,
Bwana anao uwezo
kunipa wokovu.

2. Viumbe vipya naona;
damu ina nguvu,
imeharibu uovu
uliodhulumu.

3. Naondoka kutembea
nuruni mwa mbingi,
na moyo safi kabisa
kumpendeza Mungu.

4. Ni neema ya ajabu
kupakwa na damu;
na Bwana Yesu kumjua,
Yesu wa Msalaba.


Tazama Tenzi za Rohoni 1–164


Omba App ya Tenzi za Rohoni kwa Android

Scroll to Top