Skip to main content

Tenzi za Rohoni 154 – Bariki Yote Yawe Mema

Tenzi za Rohoni 154 – Bariki Yote Yawe Mema

Tenzi Na. 154

Soma maneno kamili ya Tenzi za Rohoni namba 154, “Bariki Yote Yawe Mema”, kwa ajili ya ibada, kuimba na kujifunza.


Maneno ya Wimbo

KIITIKIO:
Kaa kwetu, Bwana, bariki.
Uamini, wee ee ndugu,
kweli yake Kristo.
Jaa utukufu wa Bwana
siku zako zote.

1. Bariki yote yawe mema,
yote yawe mbaraka.
Watu wa nchi za dunia,
uwajaze utukufu.

2. Nyumba za wote zibariki
kwa jina lako takata.
Ujaze utukufu wako
nchi zote za dunia.

3. Nyosha mkono ubariki
waliojiunga nawe:
Wakupokee maishani,
watunzwe nawe milele.

4. Bwana, yatunze mambo yote
yaliyo mazuri kwako.
Uwape wote wakuombao,
wafanikishe maisha.


Tazama Tenzi za Rohoni 1–164


Omba App ya Tenzi za Rohoni kwa Android

banner
Scroll to Top