Skip to main content

Tenzi za Rohoni 160 – Jioni Moyo Wangu

Tenzi za Rohoni 160 – Jioni Moyo Wangu

Tenzi Na. 160

Soma maneno kamili ya Tenzi za Rohoni namba 160, “Jioni Moyo Wangu”, kwa ajili ya ibada, kuimba na kujifunza.


Maneno ya Wimbo

1. Jioni moyo wangu
wakutafuta, Bwana,
na kukushukuru.
Unikazie macho
yenye baraka nyingi,
ung’aze mwili na roho.

2. Natumaini tena
rehema yako Baba
hata usiku huu.
Fukuza majaribu
na hila ya Shetani,
ukiwa karibu yangu.


Tazama Tenzi za Rohoni 1–164


Omba App ya Tenzi za Rohoni kwa Android

banner
Scroll to Top