Skip to main content

Tenzi za Rohoni 119 – Si Damu Ya Nyama

Tenzi za Rohoni 119 – Si Damu Ya Nyama

Tenzi Na. 119

Soma maneno kamili ya Tenzi za Rohoni namba 119, “Si Damu Ya Nyama”, kwa ajili ya ibada, kuimba na kujifunza.


Maneno ya Wimbo

Si damu ya nyama
Iliyomwagika
Iwezayo kuondoa
Dhambi za wakosa.
Yeye Bwana Yesu
Sadaka ya Mungu,
Mwenye damu ya thamani,
Ni mwokozi kweli.
Kwa imani yangu,
Namshika yeye,
Naziweka dhambi zangu
Juu ya kichwa chake.
Mzigo wa dhambi
Sichukui tena,
Ameuchukua yeye,
Juu ya msalaba.
Bwana Yesu ndiye,
Mwokozi wa kweli
Tumsifu siku zote,
Twapata uhuru.


Tazama Tenzi za Rohoni 1–164


Omba App ya Tenzi za Rohoni kwa Android

Scroll to Top